FT: Mbeya City 0-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Uwanja wa Sokoine | Juni 17, 2026

FT: Mbeya City 0-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Uwanja wa Sokoine | Juni 17, 2026

Jamani watu mliopo huko uwanjani huu mchezo mnauonaje? Leo kuna matokeo kweli? Halafu hawa TFF ni qumamao sana. Kwanini wanawakaanga wachezaji wetu uwanjani mchana wote huu? Wapuuzi wakubwa!
18:45
Mbeya (MBI)
17/06/2026
1h 15m

Nonstop
TC-107
20:00
Dar es Salaam (DAR)
17/06/2026

Simba walitaka wacheze mda huo ili wawahi hii ATC kurudi Dar, hivyo saa mbili watakuwa tayari Dar
 
Game za saa 8 hazijakaa poa, anyway kongole mnyama kwa kuibuka kidedea
walifanya hivyo ili leo leo warudi dar, unaona hiyo? ndio wanaondoka mbeya saa mbili wawe hapa
Simba.jpg


Simba 2.jpg
 
Back
Top Bottom