Lete line up please.Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya
Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28 kwenye ligi
Endelea kuwa nami kwenye kujulishana kinachokuwa kinaendelea kwenye mechi hiyo
Mpira Umeanza
1" Mbeya City 0 - 0 Yanga
Goli la off side kabisa subilini mechi za CAF kama mtabebwa hivyo.Hovyo kabisa ligi la Bongo limeka kisiasa zaidi
Usisahau mlipokea kichapo hapa. Na bila shaka safari yenu ya kuukosa ubingwa ilianzia hapahapa!Mnapiga bomu mochwari
Mna ubabe ganiUsisahau mlipokea kichapo hapa. Na bila shaka safari yenu ya kuukosa ubingwa ilianzia hapahapa!
Hivyo leo mtushangilie wakati tunawalipia kisasi kwa hawa wababe wenu.
Subiri dk 90 ziishe. Sisi ndiyo kiboko ya wakamiaji kama hawa Wababe wenu Mbeya City.Mna ubabe gani
Sawa OsieSubiri dk 90 ziishe. Sisi ndiyo kiboko ya wakamiaji kama hawa Wababe wenu Mbeya City.