chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
mkuu umesoma ulicho andika?Goli lenyewe la off side mbeleko mpaka kupewa kombe.Mecha za CAF ombeni kabisa timu ya kukutana.Mashabiki wengi wa Yanga ni Daraja la sana watadangaya zime mechi za CAF ni friend march.
Cjui lugha gani hiyomkuu umesoma ulicho andika?
Hali ya mashabiki wa Simba ilipofikia😂😂😂😂
Umepaniki mpaka unatuandikia lugha ya Kifilipino 😁😁😁😁Goli lenyewe la off side mbeleko mpaka kupewa kombe.Mecha za CAF ombeni kabisa timu ya kukutana.Mashabiki wengi wa Yanga ni Daraja la sana watadangaya zime mechi za CAF ni friend march.
Underdog safari hii CAF mtapigwa miti bila kinga
Embu kunywa maji kwanza, ndo uandikeGoli lenyewe la off side mbeleko mpaka kupewa kombe.Mecha za CAF ombeni kabisa timu ya kukutana.Mashabiki wengi wa Yanga ni Daraja la sana watadangaya zime mechi za CAF ni friend march.
Amechanganya Lugha ya kiswahili na ile ya Kifilipino bila shaka.Cjui lugha gani hiyo
Dk zinakaribia kwishaSubiri dk 90 ziishe. Sisi ndiyo kiboko ya wakamiaji kama hawa Wababe wenu Mbeya City.
Sawa CAF inakujaEmbu kunywa maji kwanza, ndo uandike
Hiki kitimu kikicheza uwanja wa Sokoine na timu kubwa, huwa kinakamia sana.Dk zinakaribia kwisha
Na mna bahatiHiki kitimu kikicheza uwanja wa Sokoine na timu kubwa, huwa kinakamia sana.
Hapana! Siyo bahati. Msimu huu ukikoswa na Yanga, basi utaambulia sare.Na mna bahati
Ule mwezi wa tano wa kuongoza ligi tunausubiri.Sawa CAF inakuja
Nimecheka kama mazuriUmepaniki mpaka unatuandikia lugha ya Kifilipino [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]