Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Leo ni 'Mbeya Derby'.
===
Ihefu wanakutana na Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC unaopigwa uwanja wa Highland Estate, Ubaruku. Fuatilia yote yanayojiri kutoka kwenye mchezo huu uhaohusisha wapinzani wakubwa wa nyanda za juu kusini.
---
Kikosi cha Ihefu kilichoanza
Kikosi cha Tanzania Prisons kilichoanza
===
---
Kikosi cha Ihefu kilichoanza
Kikosi cha Tanzania Prisons kilichoanza