Alafu hapa jf usikute tunakaa na vitoto vyetu vya kuvizaa kabisa ,mwanasport hawez kuongea ujinga Kama huu. Fake I'd zimeficha mengi Sana ,Kuna watu hapa tungewajua hata wanavyoishi huko makwao ingekuwa vituko .Taratibu mtani, UNAOLEWA tena jamani, nani huyo anakuoa
Mkuu hii ni personal Attack Ni vyema urudi katika mada husika.Alafu hapa jf usikute tunakaa na vitoto vyetu vya kuvizaa kabisa ,mwanasport hawez kuongea ujinga Kama huu. Fake I'd zimeficha mengi Sana ,Kuna watu hapa tungewajua hata wanavyoishi huko makwao ingekuwa vituko .
Nikumbushe mechi iliyopita aliyefunga Goal ni nani?Ukiwa hivyo hivyo na mayele pamoja na makambo au utabadilika kivingine?
Kithibitisho no moja Ni ule ushamba wa kuranda randa airport kuwalak opponent wa Simba .Ila bahat mbaya bado wanaambulia aibu tu kila wanaowapokea kichapo kinahusika , mungu alivyo na miujiza na alitaka kuwapa somo Wana wanga kuwa hamuwez mpangia majukumu ,mlipoacha kwenda airport pindi anakija mazembe ndipo tukapoteza ,mkaacha kwenda kujipendekeza kwa wabotswana na game tukapoteza Ila zote mlizoshoboka mliambulia aibuThibitisha madai yako hapa kwamba simba akicheza na timu kutoka nje Yanga huwaga anatoa mbinu kwa wapinzani!!
Kwahyo mkuu mashabiki wa yanga kwenda airport kuipokea timu pinzani ya simba ndo kuwapa mbinu wageni?Kithibitisho no moja Ni ule ushamba wa kuranda randa airport kuwalak opponent wa Simba .Ila bahat mbaya bado wanaambulia aibu tu kila wanaowapokea kichapo kinahusika , mungu alivyo na miujiza na alitaka kuwapa somo Wana wanga kuwa hamuwez mpangia majukumu ,mlipoacha kwenda airport pindi anakija mazembe ndipo tukapoteza ,mkaacha kwenda kujipendekeza kwa wabotswana na game tukapoteza Ila zote mlizoshoboka mliambulia aibu
Rejea maelezo ya uto mwenzio acha kukurupuka km umefumaniwa .Umesahau mechi tano kadi nyekundu mfululizo na penalt mbili au ndio nyani haoni lake kundule.
Nashukuru kwa kumsifia kocha wetu, kwani siku zote kocha mzuri ni yule anayejua kuwapanga wachezaji wake kutokana uhitaji wa mechi hiyo (rotation),pili ina wasaidia wachezaji wengine kumpumzika.
Huyajui mengi ya ndani kaa kimya mpira wa Simba na yanga utazame tu wachezaj wakiwa uwanjanKwahyo mkuu mashabiki wa yanga kwenda airport kuipokea timu pinzani ya simba ndo kuwapa mbinu wageni?
Sawa Mkuu.Huyajui mengi ya ndani kaa kimya mpira wa Simba na yanga utazame tu wachezaj wakiwa uwanjan
Yale yale mzaramo akisafiri kaenda ngomani ila mchaga kaenda kusalimia wazazi.Rejea maelezo ya uto mwenzio acha kukurupuka km umefumaniwa .
Kuhusu kadi hapo ndipo nakuona una upeo mdogo Sana wa maswala ya mpira ,hizo kadi wanagawa au zinatokea kihalal ,kwahiyo Kama zimetokea zisitolewe kisa zilitokea mechi iliyopita?
Mbona huzungumzii Kona zinazojitokeza kila mchezo? Au faulo zinazotokea kila mchezo ? Red car , ,corner ,penalty ,njano ,faulo Ni sehemu ya mpira na hivi hitu hutokea ndani ya uwanja na vinaweza tokea mfululizo au nadra kulingana na mchezo husika .
Kwahiyo hapo Simba nao waanze kuhesaba Mambo ya yanga kuwa alipewa penalty ya mchongo zid ya namungo ,maana Ile game mlibebwa Waz Waz ,Leo mbeya kwanza kanyimwa tuta nayo tuseme? Ukishaujua mpira Kuna vitu inabid uvielewe Ivo Ivo kuwa Ni sehem ya mchezo.
Leo mmepata faulo toka kwa fei Toto ,vipi Simba nao wakifanyiwa faulo marefa waache tu ,mchezaji akiwa na njano akifanya faulo kwa mchezaji wa Simba km ya Leo ya fei Toto aache?
Je Ni wachezaj wagap wa yanga wamewasababishia wachezaj wa timu pinzan njano na red ?
Umesahau Simba michezo 3 goli 3? Umesahau Mara hii?Ingekua simba kwa dakika hizi ingekuwa inaongoza goli 3
Mazingira ya hiyo mechi huwezi kufananisha na hiki kitonga cha leo, hizo mechi zilikua ni tough umesahau katika hizo mechi 3, mechi 1 GSM alitoa pesa kuipa timu pinzani ili waikamie simba?Umesahau Simba michezo 3 goli 3? Umesahau Mara hii?
Mechi iliyopita ya lini?Nikumbushe mechi iliyopita aliyefunga Goal ni nani?
Enhee hii ndio nini?Yanga 27
Simba 22.
Ngao ya hisaniMechi iliyopita ya lini?
Ilikua na nini cha kuwafurahisha?Ngao ya hisani
Aya sawaIlikua na nini cha kuwafurahisha?
Fungeni 5 nyie leo tuwaoneMbeya kwanza ni timu ndogo sana kwa namna ambavyo wamecheza leo yanga ilipaswa kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 5, ila ndo hivyo pana mayele pale kati
Pira MIAMALA tumeliona leo.Pangeni kikosi Cha leo kwa timu zingine muone kitakacho watokea ,au umesahau na namungo had refa aliamua kuwafichia aibu?
Mbeya kwanza Ni timu isio na uzoefu na lig hapo ndipo yanga kapata advantage ,huwez panga kikos hicho kwa dodoma jiji au prison utoke salama.