Rejea maelezo ya uto mwenzio acha kukurupuka km umefumaniwa .
Kuhusu kadi hapo ndipo nakuona una upeo mdogo Sana wa maswala ya mpira ,hizo kadi wanagawa au zinatokea kihalal ,kwahiyo Kama zimetokea zisitolewe kisa zilitokea mechi iliyopita?
Mbona huzungumzii Kona zinazojitokeza kila mchezo? Au faulo zinazotokea kila mchezo ? Red car , ,corner ,penalty ,njano ,faulo Ni sehemu ya mpira na hivi hitu hutokea ndani ya uwanja na vinaweza tokea mfululizo au nadra kulingana na mchezo husika .
Kwahiyo hapo Simba nao waanze kuhesaba Mambo ya yanga kuwa alipewa penalty ya mchongo zid ya namungo ,maana Ile game mlibebwa Waz Waz ,Leo mbeya kwanza kanyimwa tuta nayo tuseme? Ukishaujua mpira Kuna vitu inabid uvielewe Ivo Ivo kuwa Ni sehem ya mchezo.
Leo mmepata faulo toka kwa fei Toto ,vipi Simba nao wakifanyiwa faulo marefa waache tu ,mchezaji akiwa na njano akifanya faulo kwa mchezaji wa Simba km ya Leo ya fei Toto aache?
Je Ni wachezaj wagap wa yanga wamewasababishia wachezaj wa timu pinzan njano na red ?