Fursa hizi wanazopata yanga ingekuwa lipuli saizi inaongoza hadi goli 2, ila ndo hivyo tutafanyaje sasa na pale kati ipo idara ya makombora ya masafa marefu kutoka iran (mayele)ni pro huyo au naongopa [emoji16]
Atakuja na kitu kipya kama yule refa mganda wa juziTuangalie leo refa amekuja na kitu gani kipya cha kutuacha midomo wazi wapenzi wa mpira
Bado3Ntibayonzika anaiandika yanga goli la kwanza
kama pesa mliyolipia ina worth goli 3 mtapata tuBado3
JF ni taifa kubwa mkuu.Hivi kwanini jamiiforum ndo kuna updates za haraka kuliko kwenye page za azam instagram
Bado 2π π πMayele katoa gundu kafunga goli moja
Wambea wote wa Simba ndio wamejazana humu.Hivi kwanini jamiiforum ndo kuna updates za haraka kuliko kwenye page za azam instagram