FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

ni pro huyo au naongopa [emoji16]
Fursa hizi wanazopata yanga ingekuwa lipuli saizi inaongoza hadi goli 2, ila ndo hivyo tutafanyaje sasa na pale kati ipo idara ya makombora ya masafa marefu kutoka iran (mayele)
 
Feisal amegongwa tena, kasababisha yanga kupata faulo katika eneo nje kidogo na box
 
Ntibayonzika anaiandika yanga goli la kwanza
 
Goli kipa alishindwa kupanga ukuta wake vizuri yani hata hajajisumbua kuufata mpira umeingia upande mwingine kabisa
 
Mayele naona kila akijaribu ngoma inamgomea
 
Hivi kwanini jamiiforum ndo kuna updates za haraka kuliko kwenye page za azam instagram
 
Hahahaha aisee hii yanga ya leo na hizi off target sijui
 
Mbeya kwanza wanapata nao faulo hapa
 
Mpira uligonga mwamba ukarudi uwanjani ukapigwa tena ukaokolewa, yani kimsingi ilikua ni chupu chupu
 
Mayele katoa gundu kafunga goli moja
 
Anavyoshangilia sasa ni kama analipizia zile siku zooote ambazo hakuwahi kufunga
 
Back
Top Bottom