FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Ile mapinduzi tulifanya uungwana tu, kwasababu busara zenu zilifika kikomo mkafika hatua mkautangazia umma kua mmempa kocha mechi tatu za kujipima

Kati ya hizo mechi tatu, mechi mbili alikuwa amekwisha zipoteza nje ndani. Sasa tungewafunga mngekuwa katika hali gani nyie?

Sisi tunajua timing ya mpira, tunajua hii ni vita ya namna gani na silaha gani tutumie, kifupi ni kwamba tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli

Na pia sisi ni tuna ndugu zetu tunaowapenda wanaoshabikia yanga, hatupendi kuwaona wakiwa kwenye manung'uniko kwa hiyo kwanza tulilinda kibarua cha kocha na pia kurejesha furaha ya wana yanga ambao mostly walikua wamekata ringi
Mbona gazeti refu hivi wakati mlipigwa kamoja tu kombe la hisani? Pole sana mkuu
 
Yaani we jamaa umeumia sana , kama inauma chomoa tuu
Sasa niumie kwa kipi?

Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
 
Sasa niumie kwa kipi?

Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
Pole sana , endelea kuugulia ,huo ndio ukwel , comment zako toka mwanzo ni maumivu tele , nakushauri acha kushabikia mpira ,labda ujaribu kushabikia mdako
 
Mchezo wa leo ulikuwa wa kimkakati zaidi kwa Yanga

Mbeya kwanza walikuwa wameahidiwa pesa kwa ajili ya ya kumrudisha Aucho kwenye majeraha na Moloko pia apate majeraha..

Sasa katikati ya uwanja ni salama sana kuelekea mechi ya watani Khalid Aucho&Yanick Bangala na huku mbavu ya kulia ikiwa salama na Jesus Moloko
 
Back
Top Bottom