kaanzia benchi kwani kacheza?Hapo Aucho kaanzia benchi, Bangala na Moloko hawapo kama vp igeni na nyinyi.
Nashukuru kwa hiyo Aucho, Bangala na Moloko wote hawapo still team inapata matokeo.kaanzia benchi kwani kacheza?
Mbona gazeti refu hivi wakati mlipigwa kamoja tu kombe la hisani? Pole sana mkuuIle mapinduzi tulifanya uungwana tu, kwasababu busara zenu zilifika kikomo mkafika hatua mkautangazia umma kua mmempa kocha mechi tatu za kujipima
Kati ya hizo mechi tatu, mechi mbili alikuwa amekwisha zipoteza nje ndani. Sasa tungewafunga mngekuwa katika hali gani nyie?
Sisi tunajua timing ya mpira, tunajua hii ni vita ya namna gani na silaha gani tutumie, kifupi ni kwamba tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli
Na pia sisi ni tuna ndugu zetu tunaowapenda wanaoshabikia yanga, hatupendi kuwaona wakiwa kwenye manung'uniko kwa hiyo kwanza tulilinda kibarua cha kocha na pia kurejesha furaha ya wana yanga ambao mostly walikua wamekata ringi
Nyinyi mmeangukia wapi?mmeangukia kwenye viti maalum.
Naona unavyotema mate kama mjamzitoKibwana shomari kafanya faulo katika eneo lile lile ambalo freekivk ya yanga ilizaa goli ebu tuone kama italeta impact kwa mbeya kwanza
Viti maalum,bwege sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]mmeangukia kwenye viti maalum.
Bangala alikuwa na kadi 3 automatic alikuwa anaikosa mechi,Aucho anakadi 2 angepata kadi angekosa mechi ya Mikia.......Moloko amepumzishwa tu.......Nashukuru kwa hiyo Aucho, Bangala na Moloko wote hawapo still team inapata matokeo.
Timu inapata matokeo, kwani kuna siku hamkupata matokeo?Nashukuru kwa hiyo Aucho, Bangala na Moloko wote hawapo still team inapata matokeo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Viti maalum,bwege sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiona ile style ya Mayele wanapagawaKufungwa wafungwe mbeya ila mikia inaumia..
Sometimes hata ukiona mavi unaweza kutema mateNaona unavyotema mate kama mjamzito
Yaani we jamaa umeumia sana , kama inauma chomoa tuuSometimes hata ukiona mavi unaweza kutema mate
Sasa niumie kwa kipi?Yaani we jamaa umeumia sana , kama inauma chomoa tuu
Tumepata matokeo bila wachezaji wanne (include Kibwana) so igeni nyinyi.Timu inapata matokeo, kwani kuna siku hamkupata matokeo?
Pole sana , endelea kuugulia ,huo ndio ukwel , comment zako toka mwanzo ni maumivu tele , nakushauri acha kushabikia mpira ,labda ujaribu kushabikia mdakoSasa niumie kwa kipi?
Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
Kuna siku hakupata matokeo?Tumepata matokeo bila wachezaji wanne (include Kibwana) so igeni nyinyi.
Hizi camera hizi yani unaweza kuona kama yanga wamefurika uwanjani, kumbe green city miti mingi
Kama zile mlizopiga Musoma na B U MKinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above