Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Ngapi hukoMkanuna
Kwa shemeji,Una pa kulala
Tusubiri kipindi cha tatu kolo atapata hili goli
Bado mechi zipo. Tukaze.Hii team imeoza, yaani imeoza haswa na msimu huu sidhani hata kama kuna nafasi ya pili.
Nashangaa sana kuona bado kuna raia wanaifuatilia.
Ukweli usemweNaona umeamua kujipoza kwa style hii Mtani. 😂😂
wanakufa 3Tusubiri kipindi cha tatu kolo atapata hili goli
rudia tenaHali sasa ni tete.
Hii sare wanasimba hatuitaki kabisa.
Tunataka tupate goli la chap chap dakika hizi za mwisho mwisho.
Simba has a bad season everBad Luck today... Viva Simba
Mpira umekwisha ndugu.Dakika ya ngapi?
Mkuu game ishaisha.Dakika ya ngapi?
Asante kwa taarifaMkuu game ishaisha.