Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Halafu nimekumbuka hivi wale mashabiki wengine wako wapi siku hizi?Wapi sasa pana hasira 🚶
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nimekumbuka hivi wale mashabiki wengine wako wapi siku hizi?Wapi sasa pana hasira 🚶
Amempeleka Kitukuu chake zahanati!Simuoni mzee Ntibazonkiza
😂😂😂 Daah.Simba wenzangu mimi nashauri tuachane na huu uzi tuhamie kule kwenye ule uzi wa Yanga kufungiwa kusajili.
Huenda tukaokota point kule kwa kuwacheka Yanga.
Ni huzuniHakuna namna wacha tucheke tu mwaya. 😂😂😂😂😂
Amka wewe, utajinyea!Simba inacheza mpira wa kiwango Cha juu mno, ukizingatia hata pale inapowakosa Nyota wake muhimu kina Chama na henock, lakini Bado ball inatembea , hii ndio maana halisi ya kikosi kipana chenye ubora Kila idara. Jaribu kuangalia safu ya ulinzi namna Gani ilivojisuka kiasi Cha kutoruhisu uchochoro kwa Namna yyte.
Hivi wanapigania nafasi ya ngapi sasa.Amka wewe, utajinyea!
TuliaHivi wanapigania nafasi ya ngapi sasa.
Hata sijui!Hivi wanapigania nafasi ya ngapi sasa.
Kushuka daraja? Two years back alikuwa title contender, simba was once feared , kushuka daraja sio kipimo cha worst performance. Malengo yalikiwa ubingwa leo ni nini?Kiaje wakati kuna mwaka walinusurika kushuka daraja?
Tayari mfadhaiko imeshanigonga ndugu yangu; hii mifadhaiko ya moyo uwanjani itanitoa roho yangu mwaka huu jamani.Vipi mkuu?
Mwache aende peke yake maadam ana akili ya kina Mwakarobo jr 😁