Mario Gomez
JF-Expert Member
- Nov 1, 2011
- 818
- 579
Kila la heri Chama langu Simba hata kama tumeukosa ubingwa bado tunahitaji ushindi ili kulinda heshima yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gammaparticles fafanua kidogo hapa. Je Simba wamesusa?Mashabiki wa Simba vibandani hawaonekani na hapa jukwaani hawaonekani kwenye huu uzi.
Hadi sasa tunakuita 🐕Mbumbumbu akishinda mniite mbwa
Kibanda ni kimoja ?Mashabiki wa Simba vibandani hawaonekani na hapa jukwaani hawaonekani kwenye huu uzi.
Hata subs hayupoSimuoni mzee Ntibazonkiza
Wewe sio MunguLolote baya liwakute kolo fc
Saidoo, Chama, inonga, Kapombe ni majeruhiSimuoni mzee Ntibazonkiza
Kabiisa.Friends of Namungo, tunaitakia Namungo ushindi wa kishindo.....
Nani kasemaImefikia hatua Makolo wanaogopa nyuzi zao kama ukoma.