Mario Gomez
JF-Expert Member
- Nov 1, 2011
- 818
- 579
gammaparticles fafanua kidogo hapa. Je Simba wamesusa?Mashabiki wa Simba vibandani hawaonekani na hapa jukwaani hawaonekani kwenye huu uzi.
Hadi sasa tunakuita 🐕Mbumbumbu akishinda mniite mbwa
Kibanda ni kimoja ?Mashabiki wa Simba vibandani hawaonekani na hapa jukwaani hawaonekani kwenye huu uzi.
Hata subs hayupoSimuoni mzee Ntibazonkiza
Wewe sio MunguLolote baya liwakute kolo fc
Saidoo, Chama, inonga, Kapombe ni majeruhiSimuoni mzee Ntibazonkiza
Kabiisa.Friends of Namungo, tunaitakia Namungo ushindi wa kishindo.....
Nani kasemaImefikia hatua Makolo wanaogopa nyuzi zao kama ukoma.