FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

Simba inacheza mpira wa kiwango Cha juu mno, ukizingatia hata pale inapowakosa Nyota wake muhimu kina Chama na henock, lakini Bado ball inatembea , hii ndio maana halisi ya kikosi kipana chenye ubora Kila idara. Jaribu kuangalia safu ya ulinzi namna Gani ilivojisuka kiasi Cha kutoruhisu uchochoro kwa Namna yyte.
 
Back
Top Bottom