NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa.
---
- Mpira umeanza
5' Namumngo 0 - 0 Simba
10' Namumngo 0 - 0 Simba
15' Namumngo 0 - 0 Simba
20' Namumngo 0 - 0 Simba
25' Namumngo 0 - 0 Simba
25' Halifa Nyenye ameoneshwa kadi ya njano kwa kucheza ovyo
30' Namumngo 0 - 0 Simba
30' Kibu anatoka baada ya kupata jeraha Pa Omar Jobe anachukua nafasi yake
30' Goooal Onanaaaa Namumngo 0 - 1 Simba
39' Goooool Namungo wanasawazisha hapa ' Namumngo 1 - 1 Simba
40' Namumngo 1 - 1 Simba
45' Namumngo 1 - 1 Simba
HT: Namumngo 1 - 1 Simba
46' Namumngo 1 - 1 Simba
50' Namumngo 1 - 1 Simba
55' Namumngo 1 - 1 Simba
60' Namumngo 1 - 1 Simba
65' Namumngo 1 - 1 Simba
70' Balua Gooool Namumngo 1 - 2 Simba