FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Simba kainunua MO
Mwacheni auze biashara zake.
Simba ikishinda sio malengo ya MO.
Malengo yake ni kufanya Biashara zake astawi.
Tutulie tutekeleze malengo ya MO.
 
Ingekua wapo kina nani wenu wale kipindi cha kwanza tuu walishafunga hawa namungo ndo wanawatesa mpk mfunge kipindi cha pili jamani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwani kipindi cha pili sio sehemu ya mchezo.. hivi ukiwa kolo unakuwaje?
 
Dk 84 metacha anaokoa nafasi ya wa kwa namungo
 
MO akiiacha Simba tutakuwa ombaomba.
Tumsikilize MO.
Simba isha kufa, inabebwa na CAF tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…