Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
😂😁😁Wakati ingekua thread nyingine angereply "we apia" 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😁😁Wakati ingekua thread nyingine angereply "we apia" 😁
Naunga mkono hoja 🤣😁Ukiiga Yanga na wewe ukajifanya una kikosi kipana ujue umekwishaa.
Kila la kheri wananchiMatch Day
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Namumgo FC [emoji739] Young Africans SC
[emoji414] 08.03.2024
[emoji909] Majaliwa Stadium, Lindi.
[emoji797] 12:00 Jioni
View attachment 2928409
Kikosi Cha Yanga Leo.
View attachment 2928411
#Daimambelenyumamwiko#.
View attachment 2928102
Haujasema
Sijui kwanini kocha hamuamini MSHERYMetacha akae ajitazame vizuri
Usijali bby nipo hapa ruangwa nimesafiri na timuNimemiss zile 5-1
Yanga team fanyeni jambo tafadhali, bado 2 tu!
Hua nashangaa sana. Mshery yupo vizuri kuliko Metacha Alifaa awe anadaka game kama hizi kupata uzoefu mzuriSijui kwanini kocha hamuamini MSHERY
Tumekuachia wewe. Sisi hivi kwetu ni vitu vya kawaida. Namungo kwetu ni ya kawaida tu kama ilivyo prison kwetuMbona uzi umestack...