FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Ghafla nini kimetokea?

1709915052317.png
 
Simba imegeuka kuwa timu ya kitapeli.
Tumsubiri Fredi atuokoe.
 
Namungo wanafanya makosa ya kiufundi baada ya kufungwa goli wakaamua kufunguka na kupishana na Yanga
Bora wewe unajua Mpira kolo wenzio wakasingizia hujuma [emoji28][emoji23]
 
MAMA SAMIA POKEA HUUU USHINDI USHEREKEE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SISI YANGA TUNAKUPA ZAWAD HII😆😆
 
Back
Top Bottom