FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Yanga nishakuwekea milioni yangu kwenye mkeka ...nasubiri dk 90 nikafate laki 3 na 50 yangu kwa kanji bhai
 
Baada ya hii game tunahitaji kushinda game kumi Tu tube ndoo tusubiri tena kombe la msimu ujao... [emoji2957][emoji2957]
 
Sorry nlikua bafuni wana Yanga wenzangu, kwani ngapi huko
 
Back
Top Bottom