ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
sisi hatuna shida na pesa ndio maana hata nyie hua mnatuuziaTume bakiza lakini kesho tunachukua Bilioni moja na milioni mia Nne.
Pesa Ya CAF.
Wanawake ndio hao jana wamechukua Bilioni Moja ya CAF.
Nyie chukueni hizo milioni mia tano kwa mwaka.
Za faulo penati za Tozo.
Kinachofanya muendelee kushiriki nbc league ni nini sasa. Si mukwende huko huko mtuachie ligi yetu.Tunavuna pesa.
Wewe lini ulipata Bilioni moja na nusu za mpirani ?
Unaishia na hivyo vi milioni tano vya ligi tu basi.
Huo mwiko huko nyuma unakuwasha?Ukome kiherehere
Najua huna akili ya kuchangia hii madaHuyu Mwamba unamjua lakini???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2401409
Mada ya Geita kufungwa na Yanga au ya Simba kufungwa na Azam????Najua huna akili ya kuchangia hii mada
Yagangwe yajayo...