ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
sisi hatuna shida na pesa ndio maana hata nyie hua mnatuuziaTume bakiza lakini kesho tunachukua Bilioni moja na milioni mia Nne.
Pesa Ya CAF.
Wanawake ndio hao jana wamechukua Bilioni Moja ya CAF.
Nyie chukueni hizo milioni mia tano kwa mwaka.
Za faulo penati za Tozo.