Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahaaaaaaSi mnajua mm na nyie tena..maombi hapa yameshika hatamu..mbeya city wafikishe japo 5 then nianze kushusha maombi kwa ajili yenu mpate japo moja la kulipizia mafuta ya ndege mlopanda...
Bora wahamie Chamwino tu🤭Ikulu ya Bongo ni nuksi tupu.
Yanapotokea mengineLitoke wapi?
Tukisema wanasema tunawaonea wivuIkulu ya Bongo ni nuksi tupu.
🙆Yanapotokea mengine
Bado wanaifanyia usafi wa kina...Bora wahamie Chamwino tu🤭
SafiBado wanaifanyia usafi wa kina...
AahaaaaaHii ndiyo Yanga halisi isipobebwa na marefa
hivi baada ya msosi wa jana pale ikulu jioni kila mmoja alipewa na demu auNo big deal Yanga apate goli moja tu inatosha sana
Tunzeni tuuu... We have nothing to loseMkumbuke haya motekeo ni rekod tunatunzq
Aahaaaaahivi baada ya msosi wa jana pale ikulu jioni kila mmoja alipewa na demu au
wamepewa kapenalti bhana 1:3Aahaaaaa
Nani kapata penati!?Uonevu penat gan
UmbwaNani kapata penati!?
Nawaonea huruma wakubetHii ndiyo Yanga halisi isipobebwa na marefa
HawajauzaYanga wameuza hii match, khaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]