Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Tactics iliyobak ni kuzuia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona wanasogea wamepata kambiliYanga bingwaaa bwanaa,tunafanya mazoezi hapo[emoji172][emoji172][emoji3][emoji3]
Hamuwezi kurudisha zote hizoSahihisha mamiloo,it is 3:1,na Bado mpira unadunda
Tunarahaaa kuliko shabiki yeyote wa mpira wa miguu[emoji3][emoji3]Siku pekee ambayo tunafungwa huku tunafuraha... [emoji23]
Wanarudishaaa huko mabao enyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajauza
Wachezaji wamechoka afu MBEYA cty anajiokoa kushuka daraja
Amecheza mechi jumapili
Jumatatu kashinda kwenye ndege usku kaenda kula bata ikulu
Jumanne mechi unategemea nn
Nani anazuia!?Tactics iliyobak ni kuzuia..
Scars unaulizwa hukuNgapi ngapi?
Wote wazuieNani anazuia!?
Kabisaaa hivi walitupigia makofi walipokuwa wanaingiaaYanga akipata droo,hao kenge wajiluamu wenyewe
[emoji1][emoji1]naona wanasogea wamepata kambili
Sawa mama,naomba uombe tena kipenzi changu Ili Singida afikishe goli 2,na kmc na kenge mwenzie wafikishe goli mbiliHamuwezi kurudisha zote hizo
Hapana,inabidi tukashitaki tffKabisaaa hivi walitupigia makofi walipokuwa wanaingiaa
3-0Ngapi ngapi?
Haya nakuombeaaSawa mama,naomba uombe tena kipenzi changu Ili Singida adikishe goli 2,na kmc na kenge mwenzie wadikishe goli mbili
[emoji3][emoji3][emoji3]watupe hela hizooHapana,inabidi tukashitaki tff
Hata iwe tatu tatu
TumefungwaHata iwe tatu tatu
Aahaaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]watupe hela hizoo