Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Haya nakuombeaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Haya nakuombeaa
Kwani uongo?Tumefungwa
Muda mmoja ni mechi za kufunga ligi tuMliokuwa mnadai mechi zilikuwa zinaahirishwa ili kuepuka upangaji wa matokeo, mbona sasa mechi hazichezwi muda mmoja?
Nashauri mtengeneze medali nyingi kila Ito awe nayoNo na kombe la Robo fainali
Moderator acha kupoteza muda endelea na kazi zako muhimuNaona Admin kagoma ku-update Uzi, inasoma 3-0
Makundi anaweza kufika. Ila nafasi ya tatu hawataona kamwe.Alafu hawa Vilaza wanabana pua wanakwambia,"mwakani zunaenda kuveva uvingwa wa caf champions"
Caf champions vilaza awafiki hata makundi.
Maombi huyu kenge waongeze goli moja tu,na Singida aongeze moja tu
Kipa huyo ni pazia hawajauza wala niniYanga wameuza hii match, khaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili nini sasa? Kwamba ndiyo itachomoa kipigo cha tatu?Naona Admin kagoma ku-update Uzi, inasoma 3-0
Tusivuke mto kabla ya kuufikiaMakundi anaweza kufika. Ila nafasi ya tatu hawataona kamwe.
Si usome sasa? Wanafunzi wa sku hz bhn[emoji2955]Mwenye link plz ya kucheki live niko darasani
Sawa,miye naomba tubadilishane,we unipe ya robo fainali CAF CL na miye nikupe ya CAF CCNashauri mtengeneze medali nyingi kila Ito awe nayo