Tuelewe hivyo hivyo mkuuπππDakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] IhefuMbeya City ni kama nanii vile
Kwakweli.Mtuelewe tuu hakuna namna π
Wakati mechi inaanza bado tulikua tumeshiba ubwabwa wa mama matumbo yalijaa gesi kwa pilau la janaMtuelewe tuu hakuna namna [emoji38]
Vichwa vigumu hao. πNiliwaambia tunafanya mazoezi siee[emoji1][emoji1][emoji1]
Yanga baba laoπTuelewe hivyo hivyo mkuuπππ
Achaaa iyo mamboo bhna,yanga bingwaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Gooooooooooal Mbeya City 4 , chama kasawazisha
PoleeeπππMbeya City mufwileeeeee wanyambala naloli
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mbavu zangu jmnMbeya City mufwileeeeee wanyambala naloli
Pole kwao hao wapuuzi...Poleeeπππ
ππππYani ile penalty ndo imebeba uchawi wote... π π
[emoji15] mbona imekuwa haraka mno wajamen [emoji849]
Uko Dodoma? Maana huku baridi hatari kahwa itafaa mtani..ππππ
Mtani twende tukanywe kahawa.
asante yangaHaya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.
Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..
Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874