Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tuelewe hivyo hivyo mkuu๐๐๐Dakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuelewe hivyo hivyo mkuu๐๐๐Dakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] IhefuMbeya City ni kama nanii vile
Kwakweli.Mtuelewe tuu hakuna namna ๐
Wakati mechi inaanza bado tulikua tumeshiba ubwabwa wa mama matumbo yalijaa gesi kwa pilau la janaMtuelewe tuu hakuna namna [emoji38]
Vichwa vigumu hao. ๐Niliwaambia tunafanya mazoezi siee[emoji1][emoji1][emoji1]
Yanga baba lao๐Tuelewe hivyo hivyo mkuu๐๐๐
Achaaa iyo mamboo bhna,yanga bingwaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Gooooooooooal Mbeya City 4 , chama kasawazisha
Poleee๐๐๐Mbeya City mufwileeeeee wanyambala naloli
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mbavu zangu jmnMbeya City mufwileeeeee wanyambala naloli
Pole kwao hao wapuuzi...Poleee๐๐๐
๐๐๐๐Yani ile penalty ndo imebeba uchawi wote... ๐ ๐
[emoji15] mbona imekuwa haraka mno wajamen [emoji849]
Uko Dodoma? Maana huku baridi hatari kahwa itafaa mtani..๐๐๐๐
Mtani twende tukanywe kahawa.
asante yangaHaya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.
Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..
Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874