FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

We jua tu

Shindeni Leo mchukue ubingwa wa Ligi Kuu NBC
Sisi tulishawaambia nyie tupeni ubingwa mpka wa kutype na kushinda JF...hilo halituhusu kikubwa tuliwakandaa...mtakandwa na leo...na ihefu iliwakanda...baaasi roho zetu kwatuuu.. πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Sisi tulishawaambia nyie tupeni ubingwa mpka wa kutype na kushinda JF...hilo halituhusu kikubwa tuliwakandaa...mtakandwa na leo...na ihefu iliwakanda...baaasi roho zetu kwatuuu.. πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Ubingwa wenu wa kumfunga Yanga kumbe,ahaaaaaaa
 
Wanachezea ndege ya mama halafu wanabamizwa😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…