FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

We jua tu

Shindeni Leo mchukue ubingwa wa Ligi Kuu NBC
Sisi tulishawaambia nyie tupeni ubingwa mpka wa kutype na kushinda JF...hilo halituhusu kikubwa tuliwakandaa...mtakandwa na leo...na ihefu iliwakanda...baaasi roho zetu kwatuuu.. 😆 😆 😆 😆
 
Sisi tulishawaambia nyie tupeni ubingwa mpka wa kutype na kushinda JF...hilo halituhusu kikubwa tuliwakandaa...mtakandwa na leo...na ihefu iliwakanda...baaasi roho zetu kwatuuu.. 😆 😆 😆 😆
Ubingwa wenu wa kumfunga Yanga kumbe,ahaaaaaaa
 
Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.

Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.

Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..

Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
Wanachezea ndege ya mama halafu wanabamizwa😎
 
Wananchi hatuna habarii...
Tuko biich..twala upepo wa baharii.
IMG_20230606_170715_393.jpg
 
Back
Top Bottom