Soma usije poteza matirio kichwaniMwenye link plz ya kucheki live niko darasani
Aaah sio kweli[emoji16][emoji16]Soma usije poteza matirio kichwani
AahaaaaaaHuna baya Kilimbatzz mzee wa likes π π π
rekodi inaendelea kuandikwa huko nyanda za juu kusini medali fc 0:3 mbeya fcHaya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.
Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..
Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
Tunzeni tuMkumbuke haya motekeo ni rekod tunatunzq
yanga wanajua kumkera mama houseWamevurugwa na kauli ya mama wameamua kuwasusia Mbeya City
....mama kawapa ndege na wao wanamuonyesha ujeuri...hahaha
No big deal Yanga apate goli moja tu inatosha sanaBata la jana linatutokea puani
Si mnajua mm na nyie tena..maombi hapa yameshika hatamu..mbeya city wafikishe japo 5 then nianze kushusha maombi kwa ajili yenu mpate japo moja la kulipizia mafuta ya ndege mlopanda...Aahaaaaaa
Hizo likes tumezikuta humu humu na tutaziacha humu,
We omba Yanga apate goli moja tupate ya supu keshoView attachment 2648004
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Utasikia Ikulu walituwekea dawa kwenye msosi.
ndo uwezo wao ulipoishia kule pote walipita kibahati bahati tu,maisha ni bahatiHawa Yanga sasa wanaleta utani aisee.
Au Sugu kawapa kibunda nini,??
Litoke wapi?No big deal Yanga apate goli moja tu inatosha sana