FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

Huna baya Kilimbatzz mzee wa likes 😆 😆 😆
Aahaaaaaa

Hizo likes tumezikuta humu humu na tutaziacha humu,

We omba Yanga apate goli moja tupate ya supu kesho
Screenshot_20230606-171321~2.png
 
Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.

Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.

Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..

Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
rekodi inaendelea kuandikwa huko nyanda za juu kusini medali fc 0:3 mbeya fc
 
Back
Top Bottom