Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wenyewe wanasema wana kikosi kipana, no feisal no mayele no problemKwani hiki kikosi sio cha Yang'a?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wanasema wana kikosi kipana, no feisal no mayele no problemKwani hiki kikosi sio cha Yang'a?
Kikosi kipana, wa ndani na wa njeMbona wengi ni wa Ndani?
Haina haja ya score board...haja ni kuendeleza legacy ya kutofungwa mechi nyingi...Umeangalia msimamo wa Ligi bidada!?
Dah,,,unatutenga kuleeee kwenye jukwaa letu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeweka laki 4 mbeya city plz msiniangushe nichukue iyo 1.34M
Score board inatusaidia nini kama mashemeji zetu wakishuka Ligi!?Haina haja ya score board...haja ni kuendeleza legacy ya kutofungwa mechi nyingi...
Ndio kujitetea kwenyewe huko 😁Nani kajitetea? leo tunataka kufungwa
Mwaka gani!? Maana ni mabingwa wa vitu vingi kuwa specificNyie Mabingwa wa nini?
Endeleeni kujitetea...sisi tunajua mmefungwaScore board inatusaidia nini kama mashemeji zetu wakishuka Ligi!?
Leo shindeni goal nyingi ubingwa upo waziHaina haja ya score board...haja ni kuendeleza legacy ya kutofungwa mechi nyingi...
We jua tuEndeleeni kujitetea...sisi tunajua mmefungwa
AahhaaaaaLeo shindeni goal nyingi ubingwa upo wazi
HatoiYanga hata akipigwa nyingi kikubwa atoe GG tu
Nyie hamtaki ubingwa?Ndio kujitetea kwenyewe huko [emoji16]
SawaHatoi
Bishara!!??Kwani mikia mbona kelele nyingi.. Bishara si tushamaliza..
Wauchukua ubingwa,siye yunafungwa leoNyie hamtaki ubingwa?
yang`aa bila mayele ni wanalowaaa tuKwani hiki kikosi sio cha Yang'a?