KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Aisee, kuna timu sio za kuamini kabisa.
Ni kama hii Mbeya City
Ni kama hii Mbeya City
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbona hujakaza ukachukua Ubingwa?Ndo maan yake kwani wangekaza mngebaki na sifuri yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga wameona kelele zitakuwa nyingi wakaamua kusahau ombi la Mbeya City
WapuuziHebu andika bila kulia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa yaaniTunawabeba hawabebeki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo hii draw ni advantage kwenu ubingwa upo wazi mshindwe wenyeweUpuuzi mtupu...yani Mbeya nawaonaga wajanja kumbe mburura..hiko ki penalty ndo kimewapa nguvu hao vyura
Ungeenda kuwasaidia kuchezaWapuuzi
WW tulia ubingwa wenu huu tulishawehenyesha kwa miaka 4... rudisheni hyo miaka 4 ndo uje kuongea hapa...Wewe mbona hujakaza ukachukua Ubingwa?
AahaaaaaaaHata hivyo hii draw ni advantage kwenu ubingwa upo wazi mshindwe wenyewe
😂😂😂😂Huruma yoyoyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msitulazimishie ubingwa...sisi tupo gado..tupo kwa ajili ya kuwakera tuu..Hata hivyo hii draw ni advantage kwenu ubingwa upo wazi mshindwe wenyewe
Mbeya City ni kama nanii vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitimu vingine ni vya hovyo sana...Dakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
Niliwaambia tunafanya mazoezi siee[emoji1][emoji1][emoji1]Hahahaaa. Lol.
Mechi imeisha tuendelee na porojo sasa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtuelewe tuu hakuna namna 😆Dakika 50: MCC 3 - 0 YNG ( Yanga kauza mechi)
Full time: MCC 3 - 3 YNG (Mbeya City wapuuzi)
Tuelewe lipi sasa? [emoji23][emoji23]
Kalale tu sasa..ndo uwezo wao ulipoishia kule pote walipita kibahati bahati tu,maisha ni bahati