Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri
3'Goooooooooo
Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi
7' Goooooooooo
Baleke anafunga goli la pili kwa kichwa akimalizia asisti ya Saido
25' Timu zote zinashambuliana kwa zamu
30' Zimbwe Jr anapata nafasi lakini anapiga krosi inayokosa mtu
33 Goooooooooo
Asisti ya kichwa kutoka kwa Shomari Kapombe inamfanya Baleke afunge 'hat trick' kwa kichwa
Mapumziko
Kipindi cha pili kimeanza
50' Mtibwa wanafika langoni lakini Manula anakuwa makini
70’ Kasi ya Simba imepungua, ni kama wameridhika na magoli waliyofunga
80' Simba anapata nafasi kadhaa lakini wanakosa umakini wanapokuwa langoni
90’ Zinaongezwa dakika 3
FULL TIME