SIMBA twende kazi kanyaga twende kabisa, bado nne mpaka kufikia full timeMchezo ni saa 16:00
Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewaView attachment 2546081View attachment 2546085
Aisee [emoji23]Dua zetu zote ni kwa Mtibwa Sugar. Wazee wa Manungu Turiani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanasubiria mb za bure kutoka kwa Mwenyekiti wa timu. Mbaya zaidi Mwenyekiti mwenyewe naye amepigiwa ili kukumbushwa, simu yake inaita tu.
japo timu mbovu ila huwez fika goli 4Kila baada ya dakika 2 tunafunga goli halafu mechi ni dakika 90 uki minus hapo unapata kimbari
Tupe raha mnyama tupe rahaaa.. Leo tunataka hamsaaa[emoji173][emoji23]07' Balekeee Goooooooooooooaaal gooal
Jean Baleke anaweka kambani bao la pili kwa Simba SC
Mtibwa Sugar 0-2 Simba SC
Subiri kidogo tuna jambo letuyanga itabaki club yenye mpira mzuri, sio hawa walevi