FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Nipo Nyumbani nikasema ngoja nichek hii game kumbe walevi watupu wamekutana.

Sasa tukipeleka timu 4 kwenye mashindano ya CAF kutakuwa na tija gani kama timu zenyewe ndio kama hawa Mtibwa?
 
Wanasubiria mb za bure kutoka kwa Mwenyekiti wa timu. Mbaya zaidi Mwenyekiti mwenyewe naye amepigiwa ili kukumbushwa, simu yake inaita tu.
Tupo tele... Siyo Uto mnasubiri mpaka msikie kelele kutoka vibandaumiza
 
Nipo Nyumbani nikasema ngoja nichek hii game kumbe walevi watupu wamekutana.

Sasa tukipeleka timu 4 kwenye mashindano ya CAF kutakuwa na tija gani kama timu zenyewe ndio kama hawa Mtibwa?
Kwani itaenda mtibwa mkuu,ataenda yanga b yule wa singida
 
Mtibwa wanapata kona ya kwanza dakika ya 19
 
Mpira au rede
 
Kona ya 3 kwa Mtibwa lakini shambulizi linaondolewa kwenye eneo la hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…