FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Hivi Back pass hawa wachezaji wa Simba wanafundishwa au ni ubunifu wao?? Maana ni too much.
 
Kuna game Mamelody vs Al Ahly

Manunguu ni kiini macho kinafanyika Mtibwa ndani ya dk 30 kashakaa 2 bila,,, Ni Mtibwa kweli au bdo wapo kwenye maombolezo
 
Nimependa energy ya wachezaji wa simba leo, wapo very active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…