Djibout kumenougaaaa πππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈ!Mdada mrembo hivviiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba walikuwepo wap ?Hao wote walikuwepo tanga wamerudi na nini?
kauliza wamerud na nn?Simba tumecheza huko Tanga dakika 180 bila kupata goli hata la offside.
Mwenzangu unaona ni jambo la kawaida hilo?
Wacha wee..Dodoma jiji tunamkata mkia nyau wa porini hii leoπΆπΆπΆ
Na kwenye msimamo bila shaka tupo on topPoints 3 na clean sheet. Unyama enaedelea
Hiyo mechi ya mchangani peleka taarifa huko huko kwenye uzi wa mchangani!! Usituchafulie uzi wetu na taarifa za mchangani!!Gooooaaaaaaal
Aziz ki
Watu wenyewe wameanzia hatua ya ndondo cup alafu analeta keleleHiyo mechi ya mchangani peleka taarifa huko huko kwenye uzi wa mchangani!! Usituchafulie uzi wetu na taarifa za mchangani!!
Tulia wewe MakoloWatu wenyewe wameanzia hatua ya ndondo cup alafu analeta kelele
Mnataka kumfanya nini nyuma yake!Nenda Simba Nenda Sisi Zetu Dua
Daima tuko nyuma yako [emoji123][emoji123][emoji123]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Makolo mwenyewe utopolokwinyo weweTulia wewe Makolo