Kafanya niniHuyu ndo Onana bwana! [emoji2][emoji2]
Mlijua itakuwa kama kumsukuma mlevi enhe,ahhaaaaHii match tough
Goli ngapi mpk sasa amefikisha huyu mdogo wake Halaand
Wachezaji wanacheza softy nilichogundua wanajilinda sana kwa vile wana mashindano mengi0:0..simba bado haijaimarika, wanacheza kama timu ya kawaida
Huyo kawaida yakeNimemuhesabia mzamiru kapoteza mipira mi 5 mfululizo.
Au bado hajawaka .....