FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Mchezaji wa Dodoma ameunawa mpira kwenye box lakini refa hajaona
 
Refa kakataa nasikia kuna mtu kaunawa wa dodoma jiji....
 
MTU KAPIGWA TEKE LA SHINGO REFA KAPETA TU INGEKUA MCHEZAJI WA DODOMA KAFANYA HIVYO TUNGESHUHUDIA KADI HAPA.
 
Back
Top Bottom