FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Kule tulifuata ngao na tumebeba, nyie mliofunga magoli mengi mmerudi na nini?
Dakika 90 na Singida goli 0.
Dakika 90 na Yanga goli 0.

Bado unaisifia timu kisayansi.
Hapa nakosoa sio ki ushabiki bali kiuhalisia.
Simba pumzi bado ndogo kiushindani kocha wa mazoezi alifanyie kazi.

Kiushabiki nashabikia Simba Sports Club.
 
Mbio za sakafuni.........huishia ukingoni.

Na kuna tofauti kubwa sana unapomiliki baiskeli ya miti, dhidi ya baiskeli ya chuma.
 
Mnyama mkali Simba Sc tafuna hizo Zabibu kutoka Dodoma.

SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA NBCPL 2023/2024
 
IMG_0406.jpg

Kikosi cha simba
 
Back
Top Bottom