Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
HahahaahhaNimemuhesabia mzamiru kapoteza mipira mi 5 mfululizo.
Au bado hajawaka .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaahhaNimemuhesabia mzamiru kapoteza mipira mi 5 mfululizo.
Au bado hajawaka .....
Binua TV mkuu... 😆 😆Camera mbaya, hata sielewi mechi inachezwaje
Hata ukibinua tv bado inaonekana hovyoBinua TV mkuu... [emoji38] [emoji38]
Na ndugu yake SaidoNimemuhesabia mzamiru kapoteza mipira mi 5 mfululizo.
Au bado hajawaka .....
0:0..simba bado haijaimarika, wanacheza kama timu ya kawaidaMbona hamleti update wengine tuko mbali..au uwanja giza?
Sis Nanyie mna vibondee!Kawaida yenu ulozi...sisi ni kazi tuu sisy...
Hawa tunawita vimbelembele ni ujuaji mwingi mbele kizaMkianzisha nyuzi na updates muwe mnatoa basi.
Sa unakuta mechi inachezwa mtoa mada hata haonekani kutoa updates kawaachia wengine kazi
Tulia ww hujaona alivyonyamaza tukio la hapo nyuma?MTU KAPIGWA TEKE LA SHINGO REFA KAPETA TU INGEKUA MCHEZAJI WA DODOMA KAFANYA HIVYO TUNGESHUHUDIA KADI HAPA.