Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Safi sana tupo pamoja [emoji172][emoji172][emoji617]Hadi nafasi yangu itashangaa nikisaliti timu ya nyumbani walikotokea mababu zake Shadeeya.
Kila la kheri itapendeza tukiendelea pale tulipoishia.
Tunataka na leo watafutane.Safi sana tupo pamoja [emoji172][emoji172][emoji617]
Hapo mchezaji muhimu ni Mkude tu, hao wengine wa kawaida tu.Simba SC huenda ikawakosa wachezaji wake muhimu kwenye mchezo wa leo ambao ni
1. Mugalu
2. Mkude
3. Morrison
4. Chama
5. Lwanga
Lazima awanyooshe tena leo.Aangaliwe Kwa tahadhari Sana Hamisi kiiza 'Diego'
Mkuu ligi inaelekea ukingoni. Una uhakika? Wengine pia hawajafungwa miguu japo lolote laweza kutokea😂Simba bingwa.
Kwa taarifa yako Onyango kapewa kazi maalum Leo!Lazima awanyooshe tena leo.
Simba inapambana kujihakikishia nafasi ya pili, Bingwa tayari anajurikana usijitowe akili.Simba bingwa.
No problem, waliopo wafanye kazi.Simba SC huenda ikawakosa wachezaji wake muhimu kwenye mchezo wa leo ambao ni
1. Mugalu
2. Mkude
3. Morrison
4. Chama
5. Lwanga
Huu ukuta sio wa Berlin ni ule wa Gaza kabisa.