FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Wana Nkulukumbi leo ndiyo wanazima kabisa ndoto za Kolo kuwa bingwa
 
Simba SC huenda ikawakosa wachezaji wake muhimu kwenye mchezo wa leo ambao ni

1. Mugalu
2. Mkude
3. Morrison
4. Chama
5. Lwanga
Hapo mchezaji muhimu ni Mkude tu, hao wengine wa kawaida tu.
 
Mkuu hivi ndivyo inavyotakiwa..mapema unapandisha Uzi wetu wa live update..ukichelewa kuna yule wa Utopolo huwa anawahi..yaani najisikiaga vibaya sana.
 
20220511_180326.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom