Hasogei mtu huko..tunacheza upande wao tuHuu ukuta sio wa Berlin ni ule wa Gaza kabisa.
Ndio maana huwa mnaanguka na kuzimia na kufa kabisa watu kama ninyi. 😂Simba inapambana kujihakikishia nafasi ya pili, Bingwa tayari anajurikana usijitowe akili.
Mkuu Pettymagambo Kagera Sugar wapewe pumzi ya moto, wanatuzoea sana..!Ghazwat Nguvu moja
Mwana kulitaka mwana kulipewa! Ushindi njenje.
Hakika mkuu. Hawa ukiwachekea wana nidhamu mbovu sana.Mkuu Pettymagambo Kagera Sugar wapewe pumzi ya moto, wanatuzoea sana..!
Kuna kale kawimbo,,,"awaamini macho yaooo[emoji445][emoji444][emoji350][emoji350],"kataimbwa sana na mashabiki wa Simba baada ya kubeba ndoo.Simba inapambana kujihakikishia nafasi ya pili, Bingwa tayari anajurikana usijitowe akili.
Tutatumia pumzi ya moto mpaka mwisho wa msimu huu.. Hatutachoka
Wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Benjamin Mkapa
Naaam mpira umeanza | Simba SC 0-0 Kagera Sugar