Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Baadae nafasi yake aingie Jimson huwa yupo vizuri pia. Lakin waweza usione nini Mzamiru anafanya kuna mambo yake adimu atakushangazaMzamiru leo hayupo kwenye mfumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadae nafasi yake aingie Jimson huwa yupo vizuri pia. Lakin waweza usione nini Mzamiru anafanya kuna mambo yake adimu atakushangazaMzamiru leo hayupo kwenye mfumo
Offside ya wazi kabisaTunazidi kuchanja mbuga. Cha pili
Umenikumbusha Katerero. Ni kijiji halafu kuna gulio au mnada pale.kuelekea kubeba ubingwa wa ligi kuu ya NBC Simba wanaongeza goli la pili.
Simba 2-0 Katerero.
Puliza kipenga basi au Nenda CASOffside ya wazi kabisa
yule mpaka awe kwenye18 yeye na kipaMayele angefunga goli kama hilo la Bocco utopolo wangempa ng'ombe wanne
Kutetema kote huko kapewa ng'ombe mmoja.Mayele angefunga goli kama hilo la Bocco utopolo wangempa ng'ombe wanne
puliza filimbi au huna pumzi?Offside ya wazi kabisa
Siku hizi hata akiwa na kipa hamna kitu. Si umeshuhudia siku ya Magerezayule mpaka awe kwenye18 yeye na kipa