Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
naona pablo anataka kukaa jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudanganya ummaUkwelu usemwe sasa hivi mnategemea
1)Kununua mechi na wachezaji
2)Uchawi...
3)Kupata msaada toka kwa waamuzi either kwa kuwapa pesa ama kwa mapenzi ya mwamuzi husika kwa simba
Mimi ni Yanga,ile sio offsideUkwelu usemwe sasa hivi mnategemea
1)Kununua mechi na wachezaji
2)Uchawi...
3)Kupata msaada toka kwa waamuzi either kwa kuwapa pesa ama kwa mapenzi ya mwamuzi husika kwa simba
aingie naniMtoeni Mzamiru anaharibu mfomu kabisa Leo.
Mkuu hiyo Mashine we iache tuMtoeni Mzamiru anaharibu mfomu kabisa Leo.
Ndoto za ubingwa?Kesho tutegemee press kutoka upande ule ha ha simba haihitaji ubingwa anahitaji kushinda mechi zake tu ndoto za ubingwa tumewaachia upande wa pili kwenye jangwa
Utapata Tabu SanaSimba 0 Kagera 1.....… Na uhakika wa 100%