FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Ndoto za ubingwa?

Ndoto mnazo nyie mnaowaza visivyowezekana

Ok, timu ya kumfunga Yanga haipo katika hizo mechi saba zilizobaki

Yani imagine Yanga ashinde mechi tatu tuu, na kutoa sare nne, then bado tutabato na nyie kwenye goal difference, kama mkishinda zote
mechi saba

Hamuoni kwamba mnaota tuu kuanza kutegemea hili na hili litokee, then hili tena litokee

It won't happen!
Endeleeni kupigania ubingwa simba anahitaji kushinda mechi zake tu
 
Pressure ya Yanga kuhofia Simba kuchukua ubingwa imekuwa kubwa

giphy (33).gif
 
Back
Top Bottom