FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hivi mtani Shadeeya mbona sikuoni ukinipa kampuni hapa.

Basi acha tupumzike tukirudi tumepunguza gap la point.
😂😂 Nimekuja Ntani.

Kama nakuona unavyojuta vile mlivyoboronga mechi za nyuma.

Zimebakia ngapi kwani? 🤣
 
Hata mechi hii ilikua ngumu
Goli lenu la kwanza ni uzembe wa kipa au labda alisharushiwa muamala..maana mpira unapita mbele yake taratibu anauangalia tu

Goli lenu la pi ni clear off side

Kwa umiliki mzuri waliokua nao kagera na leo pia mlikua mbalala,juhudi zenu za nje ya uwanja zimewabeba.
Ndio hivyo tena. Huku mkiendelea kudhani sisi tunakusanya point 3 muhimu.
 
😂😂 Nimekuja Ntani.

Kama nakuona unavyojuta vile mlivyoboronga mechi za nyuma.

Zimebakia ngapi kwani? 🤣
Yaani tulijichanganya pale Tanga na Moshi na Mbeya Kwanza kupoteza point 6. Sasa hivi tunge hesabu 2 tu.

Sio mbaya. Ila mnaujua moto wetu nadhani hamlali mkiomba na kukesha pumzi ya moto iwaepuke.
 
Wachezaji wa Yanga wakiacha mambo ya kitoto uwanjani, (ya kulazimisha kutetema) mbona ubingwa saa mbili tu asubuhi!

Simba atashinda kwa Mkapa tu! Akienda kucheza mechi za Mkoani, akijitahidi sana ni sare.
Na kama game ya juzi wao akili zao sijui ndo zilikuwa zinafikiria kutetema tu 🙁

Ila washajifunza sisi tunataka Ubingwa hayo ya mfungaji bora ni baadae.
 
Kajificha tumtegemee baada ya namanyele kutetema
a.gif
 
Back
Top Bottom