Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
KabisaGame ya Yanga bado dakika 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaGame ya Yanga bado dakika 2
Dkk 3 zishaongezwaaa kuleeeMayele anaweza akafunga, wale kwanza mechi yao ipo nyuma kwa dakika 5
Inaangaliwa magoli ya penalty kabla ya assistAssist saidoo amezid, ko ikibaki hivi Saidoo anachukuaaa kiatuu
Namungo kachomoa dakika ya 90. Ni 1-1Namungo na singida imekuwaje?
Mayele haoati kiatu wakiwa na magoli sawa kwasababu ya assist.Kipi? Kulingana Magoli na Mayele?
Sijajua hapooo.Inaangaliwa magoli ya penalty kabla ya assist
Hii sheria yako umeiokota wapi?Inaangaliwa magoli ya penalty kabla ya assist
Alivyofunga Bocco vitoga wakauacha uzi wao wakaja huku kusema Bocco amgawie Saido.Kafunga Banfala ila Mayele anasikitika sijui kwa nini. Kiatu anaondoka nacho Saidoo
Bocco kanikera sana. Ile ni husdaBocco anaipa simba goli la 2
Mechi zimeisha zote?Tumepata Kiatu sisi Simba
kuhug mtu kuna ubaya kumbeKidume mwenzio huyo. Shauri yako
Umeishaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi zimeisha zote?
Maana mechi ya Yanga siiamini refa anaweza kuongeza dakika 15